MENDE
1. KERO; Mende wanapo kuwepo kwenye nyumba ama makazi ya binadumu husababisha kero mbali mbali kama vile, kama kupita na kukatiza hovyo, huingia kwenye vyakula na vinywaji na hivyo kusababisha hasara, waweza kumtambaa mtu na hata kumng’ata, hufanya uaharibifu kwa kung’ata na kuweka matundu kwenye nguo, pia wana harufu ambayo sio nzuri, anaweza kuchafua nguo ama katarasi nyeupe kwa kunya juu yake, nk. 2. KUCHAFUA CHAKULA; Mende hula karibu kila kitu ambacho binadamu anakula na bahati mbaya mdudu huyu hula na hukaa pia chooni na kwenye njia za maji machafu na hivyo huweza kubeba vimelea vya magonjwa mbalimbali kutoka huko na kuingiza kwenye vyakula na kusababisha magonjwa kwa njia hiyo. 3. KUOTESHA WADUDU WA MAGONJWA; Utafiti umeonyesha baadhi ya vimelea vya magonjwa kama vile Bacteria aitwae Pseudomonas aeruginosa wanaweza kuota kwenye mfumo wa chakula wa mende, na kwa kuwa mende anapopita au kula chakula chako huwa na tabia ya kunya, kucheua na kutema mate yake kwenye chakula hicho hivyo kuweka vimelea hivyo vya magonjwa kwenye chakula hicho na hivyo kusambaza magonjwa ya tumbo na hata majipu. 4. HUNGATA NA KUUMIZA BINADAMU; hii hutokea mara chache lakini kama mende ni wengi sana wanaweza kunga’ta watu na hata kusababisha majeraha makubwa kwa kula ngozi za mwili, kucha, vidole, midomo, nk. 5. KUINGIA KWENYE MATUNDU YA WAZI YA MWILI; Mtu akiwa amelala Mende wadogo wanaweza kuingia na kusabsabisha matatizo kwenye sehemu za mwili kama vili masikio, pua, mdomoni, nakadhalika 6. ALLEGIES; Mende wanaweza kusababisha aleji kwa binadamu kupitia mate na majimaji toka mwilini mwao mende pamoja na mabaki(vipande) ya miili yao hupelekea aleji kali sana kwa baadhi ya watu, ikiwemo kupiga chavya, kutokwa machozi, mapele, nk. 7. SUMU KWENYE CHAKULA ILETWAYO NA VIMELEA(food poisoning); hii kisayansi haikuelezewa vizuri lakini utafiti umeonyesha kuwa penye mlipuko wa (food poisoning) mende wakiuwana (kuondolewa) food poisoning nayo huisha 8. ATHMA; Wagonjwa wa athma wanashambuliwa na athma mara nyingi zaidi kwenye nyumba zenye mende. Na wakati mwingine huhatarisha uhai wa watu hawa. Watu wenye athma wakinusa vileta aleji vya mende (vimo kwenye ile harufu ya Mende) hupelekea kushambuliwa na athma. 9. Uharibifu wa vifaa vya dhamani; Mende hungia kwenye vifaa vya dhamani kama redio, saa, computer, nk na kuweza kuleta uharibifu mkubwa wenye dhamani ya ma- laki ama mamilioni ya fedha 10. Ongezea ………